mwanazuoni

NGWEA: ABADILI MSIMAMO WA LADY JAY DEE


Mwana dada au binti komando, Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya amabye alikuwa anatarajia kufanya onyesho la miaka kumi na tatu (13) katika tasnia ya muziki hapa bongo siku ya kesho yaani Tarehe 31- 05 - 2013. amefanya uamuzi wa kupeleka mbele onesho ilo kwa kuwapa  fursa wapenzi wa Msanii Ngwea kushiriki katika mazishi, ameyasema hayo muda mfupi wakati anahojiwa na EAT RADIO.

 CHANZO :  SUPER MIX na Mtagazaji Zembwela 
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment