mwanazuoni
Showing posts with label siasa. Show all posts
Showing posts with label siasa. Show all posts

NATO imekiri shambulio la Marekani Kabul liliwadhuru raia

NATO imekiri kwamba shambulio la anga la majeshi ya Marekani karibu na uwanja wa ndege wa Kabul, wakati wa ziara ya waziri wa ulinzi wa M...
Read More

Punguzo la kodi litaleta nafuu: Donald Trump

Rais Donald Trump ametangaza kile anachokiita punguzo kubwa la kodi kuwahi kutokea katika historia ya taifa hilo. Amesema anahitaji mfumo...
Read More

Wabunge watwangana makonde ukumbini

Wabunge nchini Uganda wamepigana ndani ya ukumbi wa bunge wakiwa katika siku ya pili ya kikao cha kujadili wa muswada wa kuondoa ukomo wa...
Read More

Trump aishambulia Facebook.

Mkuu na mwanzilishi wa mtandao wa Facebook ,Mark Zuckerberg, amebeza maoni ya rais Donald Trump dhidi ya mtandao huo kwamba umekuwa ukimp...
Read More

Kingwangala Aiagiza TAKUKURU Kuwakamata Waliotafuna Fedha za Ujenzi

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rus...
Read More

Takukuru yawafungulia mlango Lema, Nassari

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imewakaribisha wabunge wa Chadema, Godbless Lema (Arusha Mjini) na Joshua Nassari (Ar...
Read More

Je wanawake wanaweza kuibadili duni kwa wiki?

Mpaka sasa majina 60 ya kwanza yametangazwa, akiwemo mwana anga za juu wa Nasa Peggy Whitson, Rais Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia. msan...
Read More

Wazazi wa Warmbier waeleza mateso yaliomkabili Korea kaskazini

Wazazi wa Otto Warmbier wameelezea hali ya kutisha iliomkabili mtoto wao alipowasili nyumbani kutoka Korea kaskazini. Fred na Cindy War...
Read More

Ndugu 6 wa Familia Moja Wahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa

Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa imewahukumu adhabu ya kifo watu sita ambao ni ndugu wakazi wa Kalambo baada ya kupatikana h...
Read More

Wakurd wasisitiza kujitenga na Iraq

Mmoja wa maofisa waandamizi katika serikali ya Iraq,katika jimbo la Kurd amesema kuwa kwa sasa suala la uhuru wa eneo hilo ni jambo lisil...
Read More

Wanawake ruhsa kuendesha magari Saudia

Mfalme Salman wa Saudi Arabia ametoa idhini ya wanawake kuendesha magari,hii ikiwa ni kwa mara ya kwanza katika historia ya taifa.Uamuzi ...
Read More

Merkel asema ataendelea kuwa na msimamo

Kansela wa Ujerumani ,Angela Merkel amesema kuwa chama chake hakitaegemea sera za mrengo wa kulia kujaribu kuwashawishi wapiga kura ambao...
Read More

Marekani yailalamikia Korea Kaskazini

Marekani imeilalamikia Korea Kaskazini, kwa kauli yake kuwa ina haki ya kuzitungua ndege za kivita za Marekani hata kama zipo nje ya anga...
Read More

Washauri wa Trump wadaiwa kutumia barua pepe binafsi

Gazeti moja la Marekani limeandika kuwa, washauri sita wa karibu wa rais Trump wamekuwa wakitumia barua pepe binafsi kuzungumzia masuala ...
Read More

Rais mpya wa Angola ataapishwa

Rais mpya wa Angola anatarajiwa kuapishwa leo Jumanne. Hii ni mara ya kwanza kuna mabadiliko katika uongozi wa taifa hilo katika kipind...
Read More

Upinzani kuandamana Kenya

Chama cha upinzani nchini Kenya NASA kimeitisha maandamano Jumanne nje ya makao makuu ya tume ya uchaguzi IEBC mjini Nairobi. Hatua hii...
Read More