mwanazuoni

KUTOKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB MUDA HUU. WAANZA KUUGA MWILI WA MAREHEMU MANGWEA

Msanii Diamond awa wa kwanza kuaga

Joh Makini katika mstari

 Mkubwa Fera kwenye kamati

Gari lililobeba Mwili likiwasili

Wakazi wa jiji la Dar wakifatilia tukio nzima

Mwili wa marehemu ukishushwa

Maelfu ya watu wajitokeza kuuaga mwili wa Marehemu Mangweah









Mwandishi wetu anaendelea kufatiria tukio nzima linavyoendelea viwanja vya Leaders club na atakuwa akitujuza kinachoendelea. pia taarifa zilizotufikia wakati tunaedea mitambo kuwa maandalizi ya mazishi yanaendelea vizuri mkoani Morogoro kwani wachimbaji kaburi wanaendelea vizuri na wakishirikiana na msanii Dully Sykes amabye yupo Morogoro .

Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment