mwanazuoni

MWANAFUNZI WA SEKONDAR AMTEGA MWALIMU

Mimi  ni mwalimu wa shule moja  ambayo sitaitaja. mwezi uliopita mwanafunzi wangu wa kike ambaye  yuko  kidato  cha  tatu alinifuata na kuniambia anataka kunipa zawadi...
Sikuwa na hili wala lile, hivyo nilimwambia ni poa tu kama ameamua  kunikumbuka mwalimu wake..
Zawadi aloniletea ilinifanya  nishike  kichwa maana  sikutegemea.Yule mwanafunzi  aliniletea chupi aina ya boxer 3  na  tangu siku hiyo kila akiniona ananifanyia vituko mpaka ananikalia nusu  uchi  darasana nikiwa nafundisha  kwa vile anakaa viti vya Mbele....
Nikiwa  kama  mwalimu, nimejaribu  kutumia  viboko  ili  kumuonesha  kwamba  sina  mpango  naye lakini  bado  imeshindikana..
Nifanyaje  ndugu  zangu?  Maadili  ya  kazi  yananibana.Hata  hivyo, mwanao  ni  mwanetu  sote.
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments: