![]() |
James Kisaka enzi za Uhai wake |
Alikuwa kocha wa makipa katika timu ya wekundu wa msimbazi vijana wa msimbazi yaani Simba Sc ndugu James Kisaka. amefariki dunia leo katika hospital ya Burhan mkoani Dar es salaam. James Kisaka atakumbukwa kwa umahiri wake miaka ya nyuma alipokuwa gorikipa wa timu hiyo ya Simba Sc. Marehemu Kisaka alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya macho, miguu pamoja na kichwa kwa muda mpaka umauti ulipomfikia leo asubuh.
Mungu ilaze roho ya marehemu mahali pema pepon.
0 comments:
Post a Comment