mwanazuoni

JIONEE UTAKITILI NA UNYAMA WA BAADHI YA WANAWAKE

Duniani kuna mambo. Ebu wajue wanawake kumi ambao wameongoza kuwa na ukatili wa kutisha duniani.

 Delphine LaLaurie

Katikati ya miaka ya 1820, Lalaurie aliishi na mume na watoto wawili wa kike katika eneo la  New Orleans walikuwa matajili sana lakini kutokana na kuwa na walikuwa ni watu ambao wanaishi kwa kuwanyanyasa watumwa kitu ambacho kilipelekea kudharauliwa. Hakuna ushahidi halisi wa unyanyasaji mpaka mwaka 1834, katika mwaka huo moto uliwaka katika nyumba ya Lalaurie wananchi walikwenda kuzima moto na walipoingia ndani walimkuta  mwanamke mwenye umri wa miaka 70 mwenye minyororo katika vifindo vya miguu yake. Baada ya mahojiano akiri kuwa yeye ndio aliwasha moto kwa lengo la kujiuwa kutokana na. mateso ya Madame Lalaurie. Kutokana na moto huo wananchi walijadiliana na kujua kuwa kuna watumwa wengi ambao walikuwa wakiteswa na madame Lalaurie kwa kuwasona midomo na wengi kuwatesa kwa njia mbalimbali.


Lavinia Fisher
Fisher alikuwa wa kwanza kutambulika katika orodha ya wanawake wauwaji katika nchi ya Marekani. Yeye na mume wake walikuwa katika hotel moja karibu na Charleston, South Carolina. Alikumbwa na makosa kibao yey e na mume wake kwa kutuhumiwa kuwa watu kwa lengo la kupata pesa na kuiba, ila kuwa kutopata. ushahidi wa kutosha hivyo aliachiwa na kuendelea kuua kama kawaida katika miaka ya 1820.


Jane Toppan
Toppan alizaliwa mwaka 1857, naye kama ilivyokuwa kwa wauwaji wengine wakike lakini yeye aliuwa watu 31. Toppan alipata mafunzo kama muuguzi.
 Mnamo mwaka wa 1885, yeye alianza kufanya kazi katika Cambridge Hospital, katika Massachusetts. Alipoajiliwa huko sasa alianza kufanya majaribio ya kuuwa wagonjwa wake kwa lengo la kujifurahisha lakini baadae aliendelea kufanya mauaji nje ya hospital. mwaka 1895 alianza kuua wamiliki wa ardhi yake, na mwaka 1899 alimuua dada yake aliyejulikana kwa jina la  Elizabeth. Baadae alikamatwa na Toppan kutakiwa kujibu mashtaka alikini alikutwa hana hatia kwa sababu ya kuchanganyikiwa.



Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment