Wiki chache zilizopita mchezaji wa Barca Lione Messi alikuwa ndani ya nchi ya Tanzania katika mkoa wa Kilimanjaro kwa lengo la kutengeneza tangazo la Turkish Airline ndani ya mlima wa Kilimanjaro. Ebu cheki baadhi ya picha zake hapa.
Picha kwa hisani ya Mshana Junior
Mtani
Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
0 comments:
Post a Comment