mwanazuoni

DAMU YAMWAGIKA KATIKA MKUTANO WA UKAWA

Jana UKAWA walianza ziara yao ya kutoa elimu na kuwa eleza watanzania kile ambacho kimetokea bunge la katiba na kuwafanya wao kutoka nje ya bunge ilo. Jana walianza ziara hiyo katika mikoa mbalimbali nchi kwa kuwagawa baadhi ya wanaUKAWA kwa mafungu kuligana na ratiba yao. Hali isiyokuwa ya kawaida jana katika mkoa wa Morogoro wakati UKAWA wakiendelea na mkutano ndipo vurugu zilipoanza kwa madai kuwa kuna kijana alishiriki katika kumteka mgombea wa CHADEMA katika jimbo la Kalenga.

Habari katika picha zilikuwa hivi:

Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment