Bao la ushindi la Italy lilifungwa kwa kichwa kupitia mshambuliaji matata Mario Baloteli muda mchache tu baada ya kipindi cha mapumziko. Kwani dakika ya 50 ya kipindi cha pili ndio iliyopeleka kilio kwa waingereza kupitia super Mario Balotel.
Awali mshambuliaji wa Liverpool Daniel Sturridge alikuwa amekomboa bao lililofungwa na Claudio Marchisio wa Italy. Mechi hiyo iliisha kwa Italy kuibuka mbabe kwa mabao mawili kwa moja dhidi ya Uingereza.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment