Baada ya mchuano mkali katika uchaguzi wa Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA). Mchuano huu ambao ulipelekea kwenda katika mzunguko wa pili baada ya mzunguko wa kwanza kushindwa kupata mshindi aliyefikisha 50%. Hivyo mzunguko wa pili umempa ushindi Ndugu Patrobas Paschal na Makamu ni Patrick Ole Sosopi.
Kutokana na matokeo hayo Ndugu Patrobas Paschal ndio Mwenyekiti mpya wa BAVICHA.
Habari nyingine tutakuwa tunawapa kadri zinavyojili kwani baada wapo kwenye ukumbi.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment