Vijana wa kitanzania watakiwa kuwa wazalendo katika nchi yao kwa kufanya kazi ambazo zitawaingizia kipato na kuongeza pato la taifa. Vijana wengi wa kitanzania wamekuwa bado wana mawazo ya Uchaguzi hali ya kuwa mchakato mzima umeshaisha lakini bado vijana wanajisahau.
Hivyo Mwanaharakati na Komred Ramadhani Bhatia aliyesema hayo baada ya kufanya Mazungumzo na mmoja wa wanahabari wetu. Komred huyu aliongea hayo kwa uchungu mkubwa baada ya kuwaona vijana wengi wakishindwa kufanya kazi kwa madai kuwa wao walikuwa ukawa na wengi walikuwa wanachama wa vyama vingine vya Upinzani. Hivyo mwanaharakati huyo alitumia muda wake kwa kuwapa nasaha na kuwaamasisha kufanya kazi.
Pia hakusita kuzungumzia habari za Mkwamo wa kisiasa Zanzibar. Kwa kuaomba nchi zilizoendelea ziache kutumia uchumi na jeshi kupelekea matakwa ya siasa kwa msalahi ya nchi zao, kufanya ni kunyima uhuru wa kidemikrsia kwa nchi zenye uwezo mdogo wa kijeshi na kiuchumi. hivyo ni vizuri kutumia depromasia ya nchi uhusika kwa kuangalia utamaduni na historia yao.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment