ARSENAL YASHINDA 8 - 0
Mfungaji wa mabao mawili (dakika za 33 na 59) Joel Campbell (kulia) katika ushindi wa 8-0 jana dhidi ya Viking kwenye mchezo wa kirafiki mjini Stavanger, Norway usiku wa jana. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Santi Cazorla dakika ya 50, Theo Walcott dakika ya 53, Michael Haukas aliyejifunga dakika ya 55, Alex Iwobi dakika ya 71 na 81 na Chuba Akpom dakika ya 89, wakati Cazorla pia alikosa penalti dakika ya nne tu
0 comments:
Post a Comment