mwanazuoni

LIVERPOOL YAITANDIKA BARCELONA VIBAYA




Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akimtoka mchezaji mpya wa Liverpool, Georginio Wijnaldum katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Wembley usiku wa Jumamosi. Liverpool ilishinda 4-0, mabao ya Sadio Mane dakika ya 15, Javier Mascherano aliyejifunga dakika ya 46, Divock Origi dakika ya 50 na Marko Grujic dakika ya 90.

Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment