Fadhiri Abdul A.K.A Chuma |
Ukizungumzia soka la Tanzania lazima utazungumzia timu mbili yaani Yanga Sc na Simba Sc. Kwani ndio timu zenye hadhi ya juu kabisa katika soka la Bongo. Hivyo kijana Fadhiri ana ndoto kubwa siku moja kucheza Yanga Sc. Kwa hivi sasa anafanya Mazoezi na anaendelea na Masomo katika Chuo cha Maendeleo Masasi.
Mwenyezi Mungu Yupo na Mwenye Ndoto ya kweli. Hivyo Kijana Fadhiri anaamini ipo siku ndoto yake itafanikiwa In Shaa Allah.
0 comments:
Post a Comment