Simba Sc leo imewafurahisha wapenzi wake kwa kushinda magoli manne kwa bila dhidi ya timu ya AFC Leopard ya nchini Kenya. Magoli ya Simba Sc yalifungwa na Ibrahimu Ajibu aliyefunga goli mbili, Kichunya goli 1 na Mavugo Goli la mwisho yaani goli la nne.
Mtani
Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
0 comments:
Post a Comment