TAARIFA ZA SASA HIVI:
Mwanasheria Mkuu wa Chama (CHADEMA) Tundu Antiphas Mughwai Lissu amekamatwa hivi punde na Polisi baada ya mkutano IKUNGI-SINGIDA, hivi sasa wanaelekea mjini Singida ofisini kwa RC akiwa chini ya ulinzi wa Polisi na akitumia gari ya polisi baada ya kumkatalia kutumia gari yake.
"Caytano Maytano"
Charles Francis M.
Charles Francis M.
0 comments:
Post a Comment