mwanazuoni

UJUMBE KWA WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA, TCU NA HESLB





UJUMBE WANGU WANGU WA WAZI
UFIKE HARAKA KWA WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA
TCU NA HESLB
NDUGU ZANGU VIONGOZI MNAOHUDUMIA ELIMU YA WATANZANIA
SUALA LANGU NI VIGEZO VYA UDAHILI KWA WATANZANIA
KWA VIJANA WA KIDATO CHA SITA
NA
VIJANA WALIOHITIMU NGAZI YA DIPLOMA
Ujumbe wangu huu wa wazi naomba uzingatie hali yasasa ya watanzania wanyonge na mipango ya muda mfupi na muda mrefu
ndugu waziri wa elimu
hivi karibuni niliwahi sema taifa linamalengo gani kuwaandaa wataalamu au wanataaluma ?
hadi leo sijapata jawabu
LEO nimekuja na haya yafuatayo kama ushauri wangu mtanzania ninaeguswa na hawa vijana wa watanzania wanyonge
UDAHILI WA MWAKA HUU NIWA MUDA MFUPI AU MUDA MREFU AU WAKUDUMU KWA KUJIUNGA NAVYUO VIKUU
KWA WALE KIDATO CHA SITA WALIOMALIZA MWAKA HUU NA NYUMA HUKO WANAOTARAJIA KUJIUNGA NA MASOMO ELIMU YAJUU TUMEWAANDALIA MAZINGIRA GANI YA KUPATA FURSA HIYO WAKIWA NA SIFA NA VIGEZO VYA KIMATAIFA KUJIUNGA VYUO VIKUU YAAN PRINCIPAL PASS MBILI E E
PILI
VIJANA WETU HAO WALIOMALIZA DIPLOMA KIGEZO CHA GPA 3.5 NDIO IWE KIWANGO CHA CHINI KUJIUNGA NA CHUO KIKUU JE TUMEWAANDAA HIVI KWA KIPINDI GANI NA MATOKEO HAYO
JE WALIKUA WAKIJUA HAPO AWALI MABADILIKO HAYA YA NCHI
JE TUMEWAANDALIA NINI KUNDI LISILO NA GPA 3.5 KUENDELEA NA ELIMU YAJUU
JE TUNAMPANGO WA KUREJESHA ADVANCED DIPLOMA ILI IWE SIFA YAZIADA KWAO KUJIUNGA NA DEGREE YAKWANZA WANAPOMALIZA
JE LENGO NI NINI HASWAA PESA ZA KUWAKOPESHA HAZITOSHI AU VYUO NIVICHACHE
NDUGU VIONGOZI WENYE DHAMANA NA ELIMU NAOMBA TUTAFAKARI WOTE
KUNDI KUBWA HILO TUNAMALENGO NALO GANI
KUNDI KUBWA HILO LKITAFANYA NINI MTAANI
KUNDI KUBWA HILO TERTIARY EDUCATION NDIO MWISHO WAO
MAONI YANGU JUU YA HILI
1. TUJIKITE KATIKA KUBANA VIGEZO VYA KUPATA MKOPO WA
ELIMU YA JUU NA SIO KUWANYIMA NAFASI ZA KWENDA
VYUO VIKUU
A. YAANI MWENYE UFAULU WA CUT OFF 4.0 POINTS KWA ADVANCED LEVEL ATAPTE MKOPO CHINI YA HAPO HAMNA MKOPO ATAPATA NAFAS YACHUO
B. KWA NGAZI YA DIPLOMA AWE NA GPA 3.5 NA KUENDELEA ATAPATA MKOPO CHINI YA HAPO HADI 2.7 ATAPATA CHUO LAKINI HAPATI MKOPO ATAJITEGEMEA
2. TUREJESHE VYUO VINAVYOTOA HIGHER DIPLOMA KWA KOZI ZAO WALIZOSOMA ILI ZIWASAIDIE KUONGEZA KUPATA SIFA YA KUINGI CHUO KIKUU
3. TUWAAMBIE WAPI WATAFANYA KAZI NA NIKIPINDI GANI ATAPATA SIFA YA KWENDA CHUO KIKUU AU WAFANYEJE ILI WAPATE HIZO SIFA ZA KUJIUNGA CHUO KIKUU
4. NINGEOMBA HIVI VIGEZO NA SIFA ZA UDAHILI ZIANZE
BAADA YA MIAKA MIWILI IAJAYO BAADA YA HAWA WALIUOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO WAHITIMU WAKIJUA HILO NA HAO WALIOPO NGAZI YA CHETI NTA LEVEL 4 NA 5 WAJIPANGE NA GPA 3.5 NDIO UNAWEZA KWENDA CHUO KIKUU
NIMUDA SAANA TANGIA KUPATA HILI TANGAZO LA TCU
LINANIUMZIA KICHWA CHANGU SAANA NA KUANGALIA WAPI TUNAWAPELEKA VIJANA WETU WA MASIKINI NA WANYONGE HAO KATIKA KUPATA ELIMU NDANI YA TAIFA LAO
NIWADAU GANI WALIKAA NAO TCU NA WIZARA KUJADILI HILI
NA HADI KUWA UTAFITI UNAONYESHA HIVYO
KUNAUWEZEKANO WADAU HAO HAWAJATUMIA MAARIFA NA MAZINGIRA YASASA YATANZANIA
AU WALITAKA KUTURUDISHA NYUMA WAKATI ULE WA VYUO VIWILI VYA TAIFA WACHACHE NDIO WALIPATA NAFASI ZA KUSOMA
AU PENGINE MAONI YA HAO WADAU WANAROHO MBAYA WATOTO WA WENZAO WASISOME BAADA YA WAO KUSOMA NA KUIFIKIA MWISHO
MWISHO
NIWAOMBE WIZARA YENYE DHAMANA , TCU , NECTA , NACTE NA WADAU WAELIMU TEA
NA WATANZANIA KATIKA HILI TUTAFAKARI WOTE
VINGINEVYO TAMISEMI
IJIPANGE SASA KATIKA KUWEKEZA KATIKA VIWANDA VYA KUTOSHA KWA WENYE ELIMU NDOGO NA UJUZI WAO WAINGIE HUKO
AU TUANZE KAUNDAA VYUO VYA KUTOA ELIMU YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA WETU NA WAKITOKA HAPO WAWEZESHWE ILI TUWE NA WAJASIRIAMALI WENGI WASOMI WACHACHE NDANI YA TAIFA
MTANZANIA MNYONGE
DONZODO
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment