MEYA WA KINONDONI MH.BENJAMIN SITTA AHUDHURIA KAMATI YA BUNGE HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA (LAAC) LEO MJINI DODOMA -
Mstahiki MEYA wa Manispaa Ya Kinondoni Mh. Benjamin Sitta Leo akiambatana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar (RAS), Mkurugenzi wa Manispaa Ya Kinondoni, na Watumishi wa Manispaa Ya Kinondoni Wamekutana na KAMATI Ya Bunge Ya Hesabu ZA serikali Ya Mitaa (LAAC )
Ikumbukwe ni Siku Moja tangu achaguliwe kuwa MEYA wa Manispaa Ya Kinondoni ameanza Majukumu hayo Ya Maendeleo Ya Manispaa Ya Kinondoni. Hapa Kazi Tu
Home / habari /
siasa
/ MEYA WA KINONDONI BENJAMIN SITTA AHUDHURIA KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI YA MITAA (LAAC) MJINI DODOMA LEO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment