Taarifa zingine tutakupa kadri tutakavyo Pokea.
BREAKING NEWS : AJALI IMETOKEA MAENEO MCHEMA MASASI
Ajali imetokea muda huu maeneo ya Mchema wilayani Masasi. Gari Aina ya Carina yenye namba ya usajili T 761 BHW imepata ajali baada ya dereva kushindwa kumudu stering na Kuacha njia kuingia kwenye Mtalo. Kwenye gari kulikuwa na watu wawili Lakini kwa sasa wapo hospital ya Mkomaindo kwa ajili ya matibabu. Wakati tunakwenda mitamboni taarifa zinasema gari ilikuwa kwenye majaribio. Chanzo cha ajali bado akijatolewa.
Taarifa zingine tutakupa kadri tutakavyo Pokea.
Taarifa zingine tutakupa kadri tutakavyo Pokea.
0 comments:
Post a Comment