IDARA YA ELIMU HALMASHAURI YA MASASI YAPATA PIGO KUBWA
Hakika waswahili Wanasema " Chema hakidumu" Ni kauli iliyojidhihirisha Jana baada ya kumpoteza mwalimu Mr Ngonyani.
Ni mwalimu aliyewafundisha wengi Sana na amepitia shule mbalimbali katika HALMASHAURI ya Masasi. Miongoni mwa shule hizo ni
Alianzia ndwika girls, chidya boys, mwena day, lupaso day. Amekutwa na umauti akiwa mwl wa CHANIKANGUO SEC.
Ratiba ya Mazishi.
TAARIFA
Mwili wa marehemu Desderius C. Ngonyani utaagwa nyumbani kwake Chisegu saa 2 asb na safari ya kwenda kumpumzisha kwenye makazi ya milele huko Mbimbi, Songea itaanza saa 3 asb
Nitaendelea kuwajuza kinachojili. R. I. P MR NGONYANI
Mwl Somoe. Asante Sana kwa kunipa taarifa Hii.
0 comments:
Post a Comment