mwanazuoni

MATANGAZO YA UCHAGUZI MAREKANI. CLINTON ASHINDA COLORADO


Habari za hivi punde Clinton ashinda Colorado

 ABC News wanakadiria kwamba Clinton ndiye mshindi Colorado, jimbo jingine lililokuwa linashindaniwa. Jimbo hilo lina kura 9 za wajumbe. Clinton kwa sasa ana jumla ya kura 131 za wajumbe na Trump 168. Mshindi anahitaji kura 270 za wajumbe.

 

Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment