Matokeo Ya Uchaguzi mkuu wa Marekani umetoa majibu yaliyokuwa yanasubiriwa kwa hamu na watanzania na duniani kote. Hivyo kwa Matokeo yaliyokuwa yanaendelea yamethibitisha kuwa Donald J. Trump kuwa mshindi wa kiti hicho cha Urais wa 45 wa Marekani. Mnamo tarehe 20.01.2017 atapokea kiti chake cha Urais kutoka kwa Obama ambaye alitokea chama Cha Democratic.
Mabadiliko makubwa sana yamefanyika kwa kukitoa chama cha Democratic kuingiza Republic .
Hongera Sana DONALD J. TRUMP

Mtani
0 comments:
Post a Comment