Wanachuo wa Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Masasi wapo kwenye Chumba cha Computer wakijifunza masuala ya Mitandao ya kijamii kuendesha mijadala ya kimasomo. Leo maendeleo ya kiteknolojia yamapelekea kurahisisha mambo katika kujifunza.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)




Mtani
0 comments:
Post a Comment