mwanazuoni

WANANCHI WATAKA KUVUNJA NYUMBA YA ASKARI MAGEREZA JIDA MASASI

Jana mnamo saa 9 kasoro mchana . wananchi Wa Kata ya Jida walivamia nyumba ya askari Magereza na kutaka kuvunja kwa madai kuwa nyumba hiyo ipo kwenye eneo ambalo barabara ya mtaa inatakiwa kupita.
Hali hiyo ilipekea viongozi Wa serikali ya Kata kuhudhuria kwenye eneo hilo.

Niliongea na Diwani Wa Kata ya Jida na kuniambia kuwa nyumba hiyo IPO kisheria na taratibu za kisheria anafatilia kuondoa utata huo. Wananchi waliishia kukata mnazi na migomba iliyokuwa eneo hilo na wakisubiria siku ya kubomoa nyumba hiyo kwa hamu kubwa. Nitaendelea kuwajuza kinachoendelea.





Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment