mwanazuoni

SIMBA SC YAIFANYA VIBAYA NDANDA FC NYUMBANI KWAKE

Leo katika viwanja vya Nangwanda Sijaona Mtwara kulikuwa na Mechi ya ligi kuu Tanzania bara Mzunguko wa pili uliowakutanisha Simba Sc na Ndanda Fc. Ndanda Fc ndio walikuwa wenyeji wa mchezo mzuri na wakuvutia. Mpaka timu hizo zinzkwenda mapumziko hakuna timu iliyoona goli la mwenzake.
 Kipindi cha kuanza mpira ulibadilika na kuanza kuona matokeo.
Alikua ni Mzamiru Yasin alieanza kuwapa kicheko Simba mnamo dakika 63 baada kufunga goli la kwanza na dakika 18 baadae Mohamed Ibrahim alikihakikishia kikosi hicho cha kocha Omog point 3 muhimu baada ya kufunga goli la pili.
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment