mwanazuoni

LEO FAINAIL YA CHUACHUA CUP KATI YA MAENDELEO VS MAKURANI


Leo ni siku ya fainali ya Chuachua Cup ambayo itachezwa Uwanja Wa bomani na mgeni Rasmi atakuwa Mhe: Mkuu Wa Wilaya ya Masasi Ndugu S. Mzee.
Fainali itakutanisha Timu ya Maendeleo vs Makurani . team mzima ya mwanazuoni itakuwepo ili kuwajuza kinachoendelea.


Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment