Kocha mwenye asili ya Ufaransa Aserne Wenger leo alijikuta katika hali mbaya iliyomfanya kuona weekend kuwa ngumu kwake kwa kukubali kupokea kichapo cha mabao 3 - 1 kutoka kwa
West Bromwich Albion.
Mpaka mpira unakwisha matokeo: West Bromwich Albion 3 - 1 Arsenal
Mtani
Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
0 comments:
Post a Comment