Mwandishi wa habari nguli wa siku nyingi,Dk. Ayub Rioba, akiendesha semina ya kunoa weledi wa taaluma ya uandishi wa habari kwa waandishi wa habari na baadhi ya watumishi wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, leo katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. Dk. Rioba ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), ana shahada ya Udaktari wa Falsafa (PhD) katika Sayansi ya Jamii aliyoipata katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Mwandishi wa habari nguli wa siku nyingi,Dk. Ayub Rioba, akiendelea kutoa 'nondoz' kwa wafanyakazi hao wa UPL, huku wafanyakazi hao wakimsikiliza kwa makini sana
Mwandishi wa habari nguli wa siku nyingi,Dk. Ayub Rioba, akifafanua mada zake kwenye semina hiyo ya kunoa weledi wa kitaaluma.
Washiriki wa semina hiyo wakiwa ukumbini.
Dk. Ayub Rioba, akiendelea kutoa mada kwenye semina hiyo
Dk. Rioba akisifu mpangilio wa habari na uzuri wa habari kwenye gazeti la Uhuru la leo wakati akitoamada kwenye semina hiyo.
0 comments:
Post a Comment