mwanazuoni

KINACHOENDELEA KWENYE UCHAGUZI WA TLS


MUNGU ni mwema sana, Tundu Lissu amewasili salama Arusha. Amepata muda wa kujieleza, kujibu maswali na hatimaye kuomba kura.
Wagombea wa nafasi ya Urais walikuwa watano (5) ila mpaka sasa wamebaki wanne (4). Mgombea mmoja ndugu Lawrence Kego Masha amejitoa katika kugombea nafasi hiyo. Badala yake ameomba kura zake apigiwe Tundu Lissu.
Kwa hiyo uchaguzi ni kesho asubuhi saa 12 mpaka saa 4 asubuhi. Tundu Antipas Lissu ndiye mgombea pekee ambaye mpaka sasa ameonyesha kuwa na ushawishi mkubwa kwa wapiga kura.


Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment