Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah Bulembo akiagana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma Dk. Amani Kaborou
Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akiagana na Katibu wa CCM mkoa wa Kigoma Naomi Kapambala
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Alhaj Abdallah Bulembo akiagana na Mwenyekiti wa Jumuia hiyo mkoa wa Kigoma.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akiwa na Nkuu wa wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala kabla ya kuagana
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala
KUWASILI BIHARAMILO🔽
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akisalimia badhi ya wana CCM walimpokea katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera leo jioniMjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimsalimia Mbunge wa Viti maalum
Mbunge na shoga yake wakafurahi
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na baadhi ya viongozi wa CCM na Jumuia zake waliompokea kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Boharamulo mkoani Kagera leo jioni
Baadhi ya madereva na Maofisa wa Jumuia ya Wazazi Tanzania wakipumzika kivulini baada ya Mkuu wa Msafara, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdalla Bulembo kuwasili hotelini kwa ajili ya mapumziko baa ya kuwasili Wilayani Biharamulo mkoani Kagera.
0 comments:
Post a Comment