Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rex Tillerson amesema Washington inathamini iwapo ifunge ubalozi wake nchini Cuba, baada ya kutokea mlolongo wa mashambulizi ya kelele kwa wafanyakazi wake.
Sasa zaidi ya wafanyakazi 20 wa ubalozi wa Marekani wameripotiwa kuwa na matatizo ya kupoteza uwezo wa kusikia au kupatwa na mfadhaiko kutokana na sauti hiyo.
- Cuba na Matumaini Mapya
- Trump atishia kufuta sera za Obama kuhusu Cuba
- Trump kufufua vikwazo dhidi ya Cuba
Marekani imeiambia Cuba kuwa ina jukumu la kuwalinda wafanyakazi wote wakigeni wakiwemo .
Cuba imekana kuhusika na swala hilo huku uchunguzi zaidi ukiendelea .kujua chanzo cha watu hao kukumbwa na matatizo hayo ya kiafya wanayoyauzungumzia. .bbc
0 comments:
Post a Comment