mwanazuoni
Showing posts with label matukio.. Show all posts
Showing posts with label matukio.. Show all posts

NATO imekiri shambulio la Marekani Kabul liliwadhuru raia

NATO imekiri kwamba shambulio la anga la majeshi ya Marekani karibu na uwanja wa ndege wa Kabul, wakati wa ziara ya waziri wa ulinzi wa M...
Read More

Wabunge watwangana makonde ukumbini

Wabunge nchini Uganda wamepigana ndani ya ukumbi wa bunge wakiwa katika siku ya pili ya kikao cha kujadili wa muswada wa kuondoa ukomo wa...
Read More

Trump aishambulia Facebook.

Mkuu na mwanzilishi wa mtandao wa Facebook ,Mark Zuckerberg, amebeza maoni ya rais Donald Trump dhidi ya mtandao huo kwamba umekuwa ukimp...
Read More

Je wanawake wanaweza kuibadili duni kwa wiki?

Mpaka sasa majina 60 ya kwanza yametangazwa, akiwemo mwana anga za juu wa Nasa Peggy Whitson, Rais Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia. msan...
Read More

Mwenyekiti Awapongeza Wananchi Kwa kuwachoma Moto Wezi Wa Pikipiki

Vijana wawili wanaosadikiwa kuwa wanajihususha na kuwateka waendesha bodaboda Mkoani Tabora wameuawa na wananchi wenye hasira baada ya mw...
Read More

Wakurd wasisitiza kujitenga na Iraq

Mmoja wa maofisa waandamizi katika serikali ya Iraq,katika jimbo la Kurd amesema kuwa kwa sasa suala la uhuru wa eneo hilo ni jambo lisil...
Read More

Watumiaji wa twitter kuongezewa maneno

Mtandao wa kijamii wa Twitter umetangaza jaribio lake la kongeza idadi ya maneno ya ujumbe ambayo mtu anaweza kuandika kwenye mtandao huo...
Read More

Bwanaharusi amuokoa mtoto anayezama mtoni

Shughuli ya kupiga picha Bwana na Bibi harusi iligeuka ghafla wakati bwana harusi aliporuka na kuingia mtoni kumuokoa mvuana mdogo aliyek...
Read More

Rais mpya wa Angola ataapishwa

Rais mpya wa Angola anatarajiwa kuapishwa leo Jumanne. Hii ni mara ya kwanza kuna mabadiliko katika uongozi wa taifa hilo katika kipind...
Read More

Upinzani kuandamana Kenya

Chama cha upinzani nchini Kenya NASA kimeitisha maandamano Jumanne nje ya makao makuu ya tume ya uchaguzi IEBC mjini Nairobi. Hatua hii...
Read More