Mahakama kuu ya Tanzania imehairisha kesi ya aliyekua Naibu katibu mkuu wa CHADEMA na mbunge wa jimbo la Kigoma kaskazini ZITTO ZUBER KABWE, ambapo kesi hiyo iliunguruma jana wakati wakili wa ZITTO Bw. Albert Msando na mawakili wa nne wa CHADEMA akiwemo mwanasheria mkuu wa CHADEMA TUNDU LISSU walipopambana vikali ndani ya mahakama hiyo.
Madai ya ZITTO yalikuwa ni kupinga kamati kuu ya chama hicho kumjadili wakati yeye amekata rufaa kwa Baraza kuu la chama.
Kesi hiyo imehairishwa hadi siku ya Jumatatu tarehe 06/01/2014.
Home / habari /
matukio /
siasa
/ HATIMAYE HAKIMU WA MAHAKAMA KUU AHAIRISHA KESI YA ZITTO NA VONGOZI WA CHADEMA
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Mtani
0 comments:
Post a Comment