mwanazuoni

UPDATES: KUTOKA MAHAKAMANI KESI YA ZITTO NA CHADEMA

 Wadau wa Chadema

 Zitto akiwasili mahakamani

 wadau wa Zitto Kabwe


Wakuu nimelazimika kuripoti japo sipo eneo la tukio lakini kwamsaada wa vitendea kazi muhimu vilivyopo mahakamani hakuna kitakachoharibika,

Watu wameshaingia kwenyevukumbi wa mahakama, mawakili wa pande zote wapo,

Lisu anatanabaisha kuwa uamuzi wa kesi hii utasomwa saa kumi kamili.

Vuteni subira kila kitu kitakuja hapa live,


Wakuu,

Jaji ameingia, na karani tayari ameshasoma jalada la kesi husika

Mawakili wanajitambulisha,

Jaji anaomba radhi kwa kuchelewa kuanza kusoma hukumu

Anarudia summary ya juzi aliyosoma kuhusu historia ya pingamizi na mwenendo wake

Anarudia summary ya juzi aliyosoma kuhusu historia ya pingamizi na mwenendo wake

mM alitaka alitaka cc isijadili uanachama,amri yoyote itolewe na mahakama pia chama kilipe gharama za kesi

Upande wa utetezi umeweka pingamizi leo asubuhi kutolipa gharama ya kesi ikiwa Zitto 

atashindwa kesi

Muda si mrefu hukumu itatoka kwahiyo nitakuwa nawapatia taarifa zitakavyokuwa zinaendelea.
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

  1. NIMEPENDA SANA BLOG YAKO LABDA PIA COZ NI MSHANA ILA HUWEZA KUANZISHA BLOG UKAFANYA MAMBO MENGINE YA MSINGI NI IKAWA NA WAPENZ WENGI ?MAANA HAPA UMEIGA TU NA KUCOPY MAMBO YA NGONO NA UDAKU KAMA ZILIVYO BLOG NYING....NAKUSHAURI KUWA CREATIVE KUIGA HAKUTAKUPELEKA MBELE SANA

    ReplyDelete