mwanazuoni

WAZIRI MKUU MSTAAFU AFARIKI DUNIA


Aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Israel Mhe Ariel Sharon amefarika dunia muda sio mrefu. Waziri mkuu huyo alikuwa katika hali ya umahututi kwa kipindi cha miaka mi nane kwani alikuwa ameanza kuumwa tangu mwaka 2006.Ariel Sharon amefikia umauti akiwa na umri wa miaka 85, kwa mara ya kwanza alipata mshituko mwaka 2005 na kupelekwa katika hospital ya  Jerusalem na baadae hali ilipokuwa imezidi kuwa mbaya alihamishiwa katika hospitali ya Tel Hashomer kwa matibabu zaidi mpaka kifo kilivyomskia hii leo.


 Taarifa nyingine zitawajia muda si mrefu hivyo tunawaomba wadau wetu katika blog hii kuwa na subiri kwani tuwatanabaisha kile kinachondelea kuhusiana na msiba huo.
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment