Jana timu ya Chelsea iliibuka vinara katika mechi zidi ya Manchester City. Jana historia mpya iliandikwa na Chelsea kwani Manchester City ni mara yao ya kwanza kushindwa kupata goli katika uwanja wao wa nyumbani.
Manchester City alikuwa ameshinda mechi zote 11 alizocheza nyumbani kabla ya kukutana na Chelsea hapo jana. Manchester City 0 - 1 Chelsea.
Kutokana na mechi hiyo Manchester City na Chelsea zina alama sawa lakini Mancity imefunga mabao mengi
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

Mtani
0 comments:
Post a Comment