mwanazuoni

DUNIA IMEKWISHA AIBU YAMKUMBA MREMBO


Camera ya mwandishi yamnasa mrembo mmoja ambaye jina lake mpaka tunakwenda mitamboni halikuweza kupatikana. Mrembo huyu alikuwa katika shughuli zake za kila siku za kujipatia riziki kwa kufanya biashara ya kubadilishana via vya uzazi kwa wanaume wa dar. Biashara hiyo haramu ambayo mpaka sasa serikali imeshindwa kuweka wazi sheria ambazo zinazoweza kuwabana wauzaji na wananunuzi wao. Kwani inapotokea amekamatwa kama ilivyo tokea kwa dada huyu anapopelekwa polisi anafunguliwa daraja la udhururuji hovyo na sio kesi ya kuuza via vya uzazi ( biashara ya ngono).
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment