mwanazuoni

MAKUBWA YAWAKUTA WATU WA KUBETT (KAMARI)

Ukubwa wa dunia hii inapelekea kutokea vitu na mambo mbalimbali katika jamii zetu katika mchakato wa maisha.
 Kombe la dunia likiendelea huku likiacha machonzi kwa wengi.
Polisi wa Macau wanasema wamegundua magenge mawili ya kamari ambayo yamepokea mamilioni ya dola katika kamari ya kubahatisha matokeo ya mechi za kombe la dunia.
Maafisa wa polisi wamewakamata watu zaidi ya 20 kwenye hoteli katika mji huo wa kamari.
Watu hao wamekuwa wakipokea simu kutoka sehemu mbalimbali za dunia, na mcheza kamari mmoja ametia dau la dola milioni-5.
Mwandishi wa BBC mjini Hong Kong, jirani na Macau, anasema magengi hayo yakipata dola mia-moja-milioni kila siku kwa wateja wanaobahatisha matokeo ya Kombe la Dunia, na wateja wakiwasiliana nao kwa simu na kwenye internet.
Kati ya watu waliokamatwa 9 ni kutoka Malaysia, 4 kutoka Hong Kong na 13 kutoka Uchina bara.



Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment