mwanazuoni

WASOMI WANAOTOKA RUFIJI WAFANYA MAHAFALI YAO MOROGORO

 Mchumi Mstafu wa CCM tawi la MUM . Ndugu Mohammed MTulikwako

 Wajumbe Wakifatilia kwa makini mada .






Wasomi hao waliamua kukutana na kubadilisha mawazo ya hapa na pale kwa lengo la kuhakikisha wanaporejea Rufiji wanapeleka mawazo chanya yenye kuleta maendeleo kwa wanajamii wanaowazunguka.
Mchumi mstafu na mshauri wa jumuhiya hiyo Bw: Mtuliakwako alisema " Tumejianda vema kwenda kujenga Rufiji yetu ambayo itakuwa na manufaa na yenye maendeleo endelevu kwa nguvu za wanarufiji wenyewe".

Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment