Matokeo ya mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Goodison Park ni sare ya 2-2.
Everton walianza kufunga kupitia Coleman na Naismith katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo.
Mpaka kufikia dakika ya 80 Everton bado walikuwa wakiongoza kwa 2-0, lakini kuingia kwa Santi Cazorla, Oliver Giroud na Campbell kulibadili mcheO na Gunners wakafanikiwa kurudisha magoli yote kupitia Ramsey na Giroud.
0 comments:
Post a Comment