Kipindi cha pili Diego Costa ndie aliyeipatia ushindi Chelsea 2 - 0
Leicester at Stamford Bridge baada ya kufunga goli safi. Kutoka na matokeo ya mechi hiyo imeipelekea Chelsea kufikisha point 6 kwa kushinda mechi zake mbili za mwanzo.
Mtani
Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
0 comments:
Post a Comment