MANCHESTER UNITED 4-0 QPR
Mpira uliopigwa na Angel di Maria ukijaa nyavuni na kuifanya Man Utd kuongoza kwa bao 1-0 dhidi ya QPR. |
Manchester United wakishangilia bao lao la tatu lililofungwa na nahodha wao Wayne Rooney.
Manchester United wameibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya QPR katika mechi ya Ligi Kuu England inayopigwa Uwanja wa Old Trafford, jijini Manchester
0 comments:
Post a Comment