AYUBU TESHA(SMG) NA WAKATI NI DIWANI WA KAWEMHE. OTHAMAN KIPETA |
EZEY MUCHWA |
Jana katika viunga vya soko jipya kulikuwa na tukio la kihistoria baada ya vijana wa Kawe chini ya AYUBU TESHA akishilikiana na Baba wa Maendeleo ndugu diwani Othmani Kipeta waliandaa tamasha kubwa ambalo la kuwahamasisha vijana na wakazi wake kujua afya zao kwa kupima.
Hivyo kwa kuwa msanii ni kioo cha jamii usemi huo ulidhihilishwa na msanii na mwalimu wa kawe Ukwamani sekondari Ezey Muchwa alipofundisha vijana kwa kupitia mic katika jukwaa kama kwenye picha anavyoonekana.
0 comments:
Post a Comment