MANCHESTER CITY YAPATA KIPIGO KUTOKA BAYERN MUNICH
Manchester City jana ilijikuta ikijiweka katika wakati mgumu baada ya kukubali kupokea kichapo cha bao moja kwa bila kutoka kwa Bayern Munich. Bao pekee la Bayern Munich liliwekwa katika nyavu na mchezaji machachali Jerome Boateng katika dakika ya 90. Hivyo mpaka mwisho wa mchezo Bayern Munich 1 - 0 Manchester city.
0 comments:
Post a Comment