Vijana wa wanaounda jimbo la Kawe kwa pamoja wameanzisha kampeni ya kupinga maambukizi ya VVU katika jimbo lao kwa kufanya matamasha ya wazi yenye lengo la kuwaamasisha vijana faida za kujua afya zao mapema na jinsi ya kujikinga na maambukizi ya VVU.
Zikiwa zimebaki siku chache kwenda kwenye tukio la kuazimisha siku ya UKIMWI duniani ambayo kwa kawaida ufanyika kila mwaka inapotimu tarehe 01- 12, hivyo vijana kutoka jimbo la Kawe wameunganisha nguvu zao za pamoja wakishilikiana na wananchi wa jimbo la Kawe, watafanya hitimisho ya kampeni yao yenye kauli mbiu "
JIMBO LA KAWE MAAMBUKIZI YA VVU SASA BASI"
TUKIO LITAFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA TANGANYIKA PACKERS SIKU YA 01 - 12 -2014
|
Mhe; Ayubu Tesha (SMG) |
|
Mhe: Diwani wa kata ya Kawe, Ndugu Othman Kipeta |
|
Wanafunzi wa Sekondari Bunju A |
|
Wanafunzi wa Sekondari Bunju A |
|
Mhe; Ayubu Tesha (SMG) akitoa taarifa mbele ya wwaandishi wa habari |
|
Wana kamati wakisubiri kufanya maojihano na waandishi wa habari |
|
Wanafunzi wa Sekondari Bunju A wakifanya maigizo yanayohusu ugonjwa wa UKIMWI |
|
Wanafunzi wa Sekondari Bunju A |
|
Mhe: Diwani akitoa ufafanuzi wa kampeni hiyo |
|
Mhe: Lilian Mkotani |
|
wasanii wa Kawe Unit |
|
Picha ya pamoja na mfadhili wa kampeni |
Wanafunzi wa shule ya msingi Bunju A
Mtani
Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
0 comments:
Post a Comment