mwanazuoni

JONAS MKUDE AZIMA TAA YANGA SC




Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba kiungo wa klabu ya Simba Jonas Mkude amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu ndani ya klabu hiyo baada ya kukubali dau la milioni 60, gari pamoja na mshahara mara tatu ya ule wa awali aliokuwa analipwa.
Mkataba wa awali wa Mkude ambaye amekulia kwenye timu ya vijana ya Simba ulibakiza miezi sita tu, kitu kilichofungua milango kwa vilabu vya Azam pamoja na Yanga kuhusishwa kutaka saini ya kiungo huyo mkabaji.
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment