MMM! KWA MTINDO HUU MWANAUME HUTOKI
Siku hizi kwa wanaume wanaokaa katika nyumba za kupanga wanapata hadha kubwa ya kukumbwa na mitego ya kila aina kutoka kwa dada zetu. kwani ni jambo la kawaida kwa mwanamke katika nyumba za kupanga kuvaa kanga moko tena laini harafu anakuwa anafanya shughuli zake bila hata kujali kuwa mwanaume yupo pale tena lijari wa kutosha. Dada zetu chungeni heshima zenu bila ya hivyo mtakuwa wa kumengwa na kuachwa......!!!
0 comments:
Post a Comment