Mchungaji huyu alifanikiwa kuwashawishi waumini wa kike wa kanisa lake
kuvua nguo mbele ya kanisa lote ili awafanyie maombezi kwa kuwakanyaga.
Mchungaji huyo anasema kwamba utapata uponyaji pale tu ambapo utafuata
njia yake ya kuvua nguo na kubaki nusu uchi. Cha kushangaza waumini wake
wengi (wanawake) hawakusita kumtii mchungaji huyo.
Miongoni mwa waumini hao ni wake za watu ambao nao wameshiriki katika uvuaji wa nguo . je ni wapi dunia inakwenda ?
0 comments:
Post a Comment