mwanazuoni

KUMEKUCHA DODOMA TANO BORA YAMLIZA LOWASA

Usiku wa manane kile kitendawili cha Kakatwa au anakwata mara akatwi kufikia hatma baada ya Kamati kuu kuleta Tano Bora ambayo ni

1. January Y. Makamba
2. Dr John Maghufuli
3. Bernard C. Membe
4. Dr Asha Rose Migiro
5. Amina

Lakini katika hali isiyotalajiwa wajumbe watatu wagomea matokea hayo na wajumbe hao ni
1. Nchimbi
2. Sofia Simba
3. Adam Kimbisa


Habari zaidi Tembelea hapa blog yetu kwa update zaidi.

 Majina yalikuwa mengi zaidi ya 38, hii ndio list ambayo imetangazwa kuingia Top Five kupitia ukurasa wa Twitter wa CCM @ccm_tanzania
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment