Watuhumiwa wa ugaidi walio kwenye magereza ya Dar es Salaam wanalalamika kuteswa kikatili na kudhalilishwa kijinsia wakiwa mikononi mwa vyombo vya dola wakilazimishwa kukiri makosa wanayoshitakiwa.
Katika Mbiu ya Mnyonge, Mohamed Dahman anahoji ni kwa namna gani tuhuma kama hizi zinatolewa na kunyamaziwa kimya na mamlaka husika katika wakati ambapo dunia inazungumzia utawala wa sheria na haki za binaadamu, zikiwemo za wale walio mikononi mwa vyombo vya dola!
0 comments:
Post a Comment